KUELEKEA UCHAGUZI-barmedas.tv

Mambo yanavyoenda ni hesabu za kisiasa ni lazima ukiingia humu ucheze kete jwa ustadi mkubwa vingibevyo unaweza kujikuta huna hata pa kukanyaga.

Watu wengi wasioijua siasa kwa maoana na marefu wanajiuliza je Lowassa kuondoka CCM na kujiunga na UKAWA ndio mwisho wa Chama cha mapinduzi kuendelea kusimama kama chana Tawala kwa jibu la haraka haraka Chama hicho kitasambaratika? lakini wachunguzi wa Mambi haya ya siasa wanasema Lowassa na ubavu wa kupambana ba CCM chama kilichokaa madarakani kwa mda mrefu kinauzoefu wa kupambana na dhoruba na kuituliza pasipo mawaa.

Comments