SIKU YA MASHUJAA-barmedas.tv

Watu mbali mbali waliohudhulia katika siku ya Mashujaa wakishuhudia viongozi wakiweka vitu mbali mbali sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya kuwakumbuka Mashujaa waliokufa kwa kupigania Masilahi ya Mtanzania.

Viongozi mbali mbali waliweka mashada na Vitu mbali mbali vya Vita walivyotumia kupambana na Dhuluma za Kikoloni.






Comments