IBADA ZETU-barmedas.tv

Mchungaji Micca Ngussa akihutubu katika Ibada ya 1 katika Kanisa la Makongoro Ibada ya 1 huanza saa 1:00 asubuhi hadi saa 3:45 Asubuhi.

Mchingaji Ngussa akijikita katika UCHAGUZI huu kuwa tuwe na uchaguzi mzuri kwani aliwalaumu watu wanachagua Kiongozi  kwakuwa eti wamepatia mche wa Sabuni, aliendelea kusema kuwa Tanzania ni Nchi iliyona Baraka kubwa ila Watanzania hawajui Baraka hizo.

Alimakiza kwa kuwaomba wamuombe Mungu sana iki Tanzania atupatie Viongozi wazuri wenye kumcha na kumuogopa Mungu.

Mungu alitoa laana kwa Taifa la Israel lilipohitaji kumtega mgongo na kuanza kuiabudu miungu ua Baali, "tumuchague  kiongozi atakae liona Taifa linahitaji nini! aliwageukia Waumini ninyi waumini nanyi mubadirike misipende kuilaumu Serikali eti haiwatendei mema kumbe naninyi munatakiwa muweke bidii  ili mupate mafanikio mema pia aliwaomba wakristo waombe sana ili Mungu atupatie kiongozi borap

Comments

Popular Posts