UCHAGUZI MKUU NYAMAGANA-barmedas.tv

Msimamizi mkuu wa uchaguzi pia Kaimu Mkurugenzi Jiji ka Mwanza Bwana Tito Mahinya akitangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Jimbo la Nyamagana tarehe 28 Oct 2015.
Aliyekuwa mbunge Ezekiel Wenje na Mgombea mwenza wa ubunge Stanslaus Mabulla wakiongea kwa nyakati tofauti na waandishi wa habari mda mfupi baada ya matangazo kutolewa na msimamizi mkuu  wa uchaguzi , katika eneo la ofisi za Jiji la Mwanza.

Comments