Nakshi Nakshi za Pwani Live ndani ya barmedas.tv HD

 


Nakshi Nakshi za Pwani ni Kipindi cha Taarab. Kipindi hii ni Live na Mtazamaji anaweza kupiga Simu Live na kuomba Taarab atakayo na kupigiwa hewani. 


Host wa kipindi hii ni Aisha 

Ni Kila Jumatatu, Jumatano na Ijumaa

Saa 4 asubuhi


Unaweza kutazama Kipindi hii Live kupitia simu yako smartphones au laptops www.barmedas.tvComments

Popular Posts