Arabic Songs ndani ya barmedas.tv HD

 


Arabic Songs ni Kipindi cha nyimbo za Kiarabu kutoka Nchi Mbalimbali za Kiarabu kama Yemen, Saudia na sehemu zingine. 

Kipindi hii ni kila Ijumaa Saa 7:30 mchana


Unaweza kutazama Kipindi hii Live Popote ulipo kupitia Smartphones au Laptops kwa kubofya link hii www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts